- Mlinda alikuwa analala saa ngapi mwaka mmoja uliopita?
- Kwa nini Mlinda alilala baada ya saa sita usiku mara nyingi?
- Baada ya kifungua kinywa, Mlinda hufanya nini mbele ya kompyuta?
- Mlinda alichora nini mwaka uliopita?
- Kwa nini Mlinda ataenda Nairobi?
- Mlinda atasafiri na nani kwenda Nairobi?
- Unafikiri kwa nini Mlinda anapenda kuchora ramani?
- Kwa nini Mlinda anasahau kunywa maji mara nyingine?
Showing posts with label Listening Exercise: Maisha ya Mlinda. Show all posts
Showing posts with label Listening Exercise: Maisha ya Mlinda. Show all posts
Tuesday, 2 January 2024
Maisha ya Mlinda
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Jibu maswali yafuatayo Ni shughuli gani zilizokuwa zikifanyika kituoni cha basi? Msimulizi wa hadithi alijuaje ni basi lipi atapanda? Abiri...
-
Maswali ya Ufahamu Kwa nini Bwana Melo aliamua kubadili mtindo wake wa maisha? Bwana Melo hufanya mazoezi gani kila asubuhi, na kwa m...