Thursday, 14 March 2024

Khalai azungumza na mimea

 


Sikiliza kisha ujibu mswali yafuatayo

  1. Khalai ana umri gani?
  2. Asubuhi, Khalai anausihi ule mti mchanga wa mchungwa kufanya nini?
  3. Akiwa njiani kwenda shuleni, Khalai anazungumza na nini na anasema nini?
  4. Khalai anataka maua yanawiri kwa nini?
  5. Mti ambao Khalai anazungumza nao, uko wapi?
  6. Ua wa shule ukiwa na nguvu utasaidiaje shule?
  7. Alasiri anaporudi nyumbani, Khalai anafanya nini?
  8. Baada ya kugundua kutoiva kwa machungwa, Khalai anafanyaje?
  9. Kamilisha sentensi: Nitakuona kesho, we mti wa machungwa______________
  10. Siku nzima, Khalai anajihusisha vipi na mazingira yake?

No comments:

Post a Comment