1.
Shule ya St.
Mary's ilikumbana na changamoto gani kubwa?
2.
Kwa nini masista
hawakuwa na uwezo wa kuomba wazazi waongeze pesa?
3.
Ni hatua ipi
iliyochukuliwa na jamii kutatua changamoto za kifedha shuleni?
4.
Je, ni nini
kilichofanywa ili kuchangisha pesa kusaidia shule?
5.
Jinsi gani
wanafunzi walinufaika na mabadiliko baada ya kuchangisha pesa?
6.
Wafadhili walihisi
vipi?
7.
Ni nini
kilichoimarisha uhusiano kati ya shule na wafadhili wake?
No comments:
Post a Comment