Thursday, 14 December 2023

Listening Exercise: Adhabu

 


1.       Ni nani aliyeleta matunda nyumbani siku moja?

2.       Watoto wanauliza swali gani kuhusu matunda na kupata jibu gani kutoka kwa mama?

3.       Rahim anajulikana kuwa na tabia gani?

4.       Ni nini kinachosababisha mdogo wao kumkasirikia Rahim?

5.       Unadhani kwa nini Rahim anaitwa "mtundu na mchoyo"?

6.       Mama anaoneshaje hisia zake kuhusu tabia ya Rahim kula matunda mengi?

7.       Ni nini kinachofanya Rahim ajisikie vibaya baada ya kula matunda mengi?

8.       Unadhani ni nini kilichomfanya Rahim kuomba msamaha?

9.       Je, familia inaoneshaje imani yao kwa Rahim baada ya kuomba msamaha?

No comments:

Post a Comment