Jibu maswali yafuatayo
- Wanyama gani walikuwa marafiki wa karibu katika hadithi?
- Wanyama hao walisafiri vipi katika hadithi?
- Ng'ombe alifanya nini walipofika mwisho wa safari yao?
- Kwa nini mbwa alilipa kidogo zaidi kwa dereva wa teksi?
- Kwa nini dereva aliondoka bila kurudisha chochote cha kubadilisha kwa mbwa?
- Ni kwa nini mbwa huchungulia ndani ya magari hata leo?
- Kwa nini mbuzi hukimbia barabarani anaposikia gari linakaribia?
No comments:
Post a Comment