Jibu maswali haya:
- Zuri alisafiri kutoka wapi na ilikuwa lini?
- Zuri aliwafundisha wanawake na wasichana jambo gani?
- Wanafunzi walipewa zawadi gani na walihisije?
- Lucy ni nani, na alimpa Zuri nini?
- Wanawake wa kijiji walifanya nini kuonyesha shukrani zao kwa Zuri?
- Kwa nini Zuri hakula chakula cha Kimasai, na badala yake walipika nini kwa chakula cha mchana?
- Kwa nini Zuri hakukaa mahali pake pa kawaida?
- Kweli au si kweli: Safari haikuchosha.
No comments:
Post a Comment