Sikiliza kisha ujibu maswali haya:
Mtu anayeongea kwenye hadithi anaitwa nani?
Tina alipenda kufanya nini tangu akiwa mtoto?
Tina amewahi kutembelea nchi gani barani Afrika?
Tina amepanda milima gani?
Tina amewahi kwenda katika mabara gani mengine?
Tina anapokutana na watu wapya anajifunza nini kutoka kwao?
Kwa mfano, Tina huona nini anapokuwa katika nchi nyingine?
Kwa nini Tina anasema ni muhimu kujifunza kutoka kwa watu wengine?
Tina anaamini nini kuhusu kuishi pamoja na watu tofauti?
No comments:
Post a Comment