Monday, 15 April 2024
Youtube News: DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Machi 18, 2024 |
Wednesday, 27 March 2024
TALKING ABOUT SELF (Practice Questions)
1. Introduce yourself. What is your name, where you were born and where you live?
2. Can you tell me about your family?
3. What do you do for work?
4. Have you ever travelled to other countries? If so, where did you go, and what was your favourite place?
5. What do you do in your free time?
6. Can you talk about a memorable experience from your past?
7. What are your future goals/plans?
8. Have you ever faced any challenges in your life? How did you overcome them?
9. What do you like most about yourself?
10. Can you talk about a recent accomplishment or achievement?
Saturday, 23 March 2024
AROUND THE HOUSE (Basic Practice Questions)
2. Describe what can be found in a living room.
3. What utensils do you use for cooking in your kitchen?
4. What sorts of items might someone keep on a bedside table?
5. Where do you store your shoes and coats?
6. In which room do you store your books?
7. Describe your ideal house.
Friday, 22 March 2024
LEISURE ACTIVITIES (Practice Questions)
- What activities do you enjoy doing in your leisure time?
- Can you describe a typical leisure day for you?
- Are there any hobbies or interests you pursue regularly outside of work/study?
- Do you prefer solitary leisure activities or group activities? Why?
- How do you usually unwind and relax after a busy day?
- Have you discovered any new hobbies or interests recently?
- What leisure activities do you find most enjoyable in your current city/country?
- Do you have any favourite places to visit or activities to do during weekends or holidays?
- Are there any leisure activities you used to do that you miss?
- Can you share any tips or advice for someone looking to explore new leisure activities or hobbies in a new country?
Thursday, 14 March 2024
Khalai azungumza na mimea
Sikiliza kisha ujibu mswali yafuatayo
- Khalai ana umri gani?
- Asubuhi, Khalai anausihi ule mti mchanga wa mchungwa kufanya nini?
- Akiwa njiani kwenda shuleni, Khalai anazungumza na nini na anasema nini?
- Khalai anataka maua yanawiri kwa nini?
- Mti ambao Khalai anazungumza nao, uko wapi?
- Ua wa shule ukiwa na nguvu utasaidiaje shule?
- Alasiri anaporudi nyumbani, Khalai anafanya nini?
- Baada ya kugundua kutoiva kwa machungwa, Khalai anafanyaje?
- Kamilisha sentensi: Nitakuona kesho, we mti wa machungwa______________
- Siku nzima, Khalai anajihusisha vipi na mazingira yake?
Friday, 23 February 2024
Shule Yatatua Tatizo la Fedha
Katika mji wa St. Mary’s, shule ya Kikatoliki inayosimamiwa na masista wenye bidii ilikumbana na changamoto za kifedha. Masista hawangeweza kuwaomba wazazi waongeze pesa na walimu hawakulipwa kwa wakati. Masisita na walimu walifahamu hali ngumu za wazazi na kwa hiyo, walijadili njia za kupunguza mzigo.
Ili kukabiliana na hali hiyo,
jamii ilipanga kuchangisha pesa. Wafanya-biashara na wazazi walitoa michango
yao. Kwa sababu ya umoja wa watu na kujitolea, shule ilipata matumaini.
Masisita wa Kikatoliki na
jamii walijiunga pamoja kuhakikisha eliu inaaendelea katika shule hiyo. Juhudi
zao za pamoja zilionyesha kwamba, hata wakati hali ni ngumu; walimu, wanafunzi
na jamii, wote wanaweza kuungana na kutatua matatizo ambayo wanapitia.
Kutokana na juhudi za
kuchangisha pesa, shule ya St. Mary’s ilipata mabadikilko mazuri. Walimu
walipokea mishahara hao iliyokuwa imechelewa. Wanafunzi nao walifaidika kwa
kupata vitabu vipya na madarasa bora, wafadhili wakarimu walifurahishwa na matokeo
mazuri ya michango yao.
Barua za shukrani kutoka kwa
wanafunzi na walimu ziliimarisha uhusiano kati ya shule na wafadhili wake. Sasa,
wakati ujaoo wa shule ulionekana kuwa wenye matumaini zaidi kwa sababu ya
juhudi za wote waliohusika.
Ziara ya Zuri
Mwaka uliopita, mwezi wa Septemba, mwanamke mkarimu ambaye anaitwa Zuri pamoja na mvulana wake, walisafiri kutoka Uingereza hadi Kenya. Zuri alinunua mashine mbili za kushona na aliwafundisha wanawake na wasichana jinsi ya kutengeneza pedi au sodo. Zuri alienda kwenye shule ya wasichana na kuwapa wanafunzi vitabu, kalamu na vitu vya kuchorea. Wasichana walifurahi sana na hata waliimba nyimbo za kumshukuru.
Mwanamke mmoja wa Kimaasai, ambaye jina lake ni Lucy, alimpa Zuri bangili nzuri na mkufu ambao ulitengenezwa kwa shanga. Wanawake
wengine katika kijiji hicho pia walimpa zawadi maridadi.
Zuri hakula chakula cha
kawaida cha Kimaasai. Badala yake, wanawake wa eneo hilo walitayarisha mandari
au kwa jina lingine, pikniki, kwa chakula cha mchana. Walileta vitu vitamu kama
samosa, chapati, saladi, chai, keki , sandiwichi na matunda. Wote walifurahia
sana.
Zuri alikaa Kenya kwa wiki
mbili na siku moja akitembelea maeneo tofauti. Hata alifanya kazi na wanawake
waliokuwa gerezani. Kando na kushona, pia alishiriki hadithi na kujifunza
kutoka kwa wengine.
Zuri hakuishi mahali pake pa
kawaida kwa sababu kulikuwa na wageni. Aliishi katika eneo tofauti. Alikaa
pamoja na mvulana wake. Ingawa safari ilikuwa ya kuchosha, Zuri na mvulana wake
waliifurahia sana.
-
Jibu maswali yafuatayo Ni shughuli gani zilizokuwa zikifanyika kituoni cha basi? Msimulizi wa hadithi alijuaje ni basi lipi atapanda? Abiri...
-
Maswali ya Ufahamu Kwa nini Bwana Melo aliamua kubadili mtindo wake wa maisha? Bwana Melo hufanya mazoezi gani kila asubuhi, na kwa m...