Tuesday, 9 January 2024

Translation Exercise: Auma's Garden

Tafsiri mazungumzo haya

Aisha: (pointing) Look at those trees, Juma. They're so tall!

Juma: (nodding) Yeah, they're impressive. And do you see those cars over there?

Auma: (joining them) Hi, guys! What are you talking about?

Aisha: Hi, Auma! We were just admiring these trees. That one right there is enormous!

Juma: And those cars on the road, Auma, they're moving so fast.

Auma: (smiling) I agree. Now, let's sit over here. (points to a chair) This is my favorite spot.

Aisha: (sitting down) Oh, this chair is so comfortable! And we have a clear view of those people walking on the road.

Juma: (sitting next to Aisha) Yeah, it's nice here. What's that building behind the trees?

Auma: (looking) Oh, that's the library. It's not far. It's just behind those trees.

Aisha: (excitedly) Really? I didn't know we were so close! This garden is between the library and the road.

Juma: (pointing) And there's a playground over there. Is it yours, Auma?

Auma: (laughing) No, that's not mine, but it's next to my garden. It's a great place for kids, including boys and girls, and for men and women who want to relax.

Aisha: (looking around) Auma, your garden is amazing. I love how everything is so close - the road, the library, and the playground.

Auma: (pleased) Thanks, Aisha! I'm glad you guys like it. We can see and enjoy everything from here.

Juma: (pointing to the playground) And is that a swimming pool?

Auma: Yes, it is! Let's go there after a while. It's just across from here, behind those tall flowers. It's a favorite for both boys and girls and even for men and women who feel young at heart.

Wednesday, 3 January 2024

Ziara ya Zuri


 

Jibu maswali haya:

  1. Zuri alisafiri kutoka wapi na ilikuwa lini?
  2. Zuri aliwafundisha wanawake na wasichana jambo gani?
  3. Wanafunzi walipewa zawadi gani na walihisije?
  4. Lucy ni nani, na alimpa Zuri nini?
  5. Wanawake wa kijiji walifanya nini kuonyesha shukrani zao kwa Zuri?
  6. Kwa nini Zuri hakula chakula cha Kimasai, na badala yake walipika nini kwa chakula cha mchana?
  7. Kwa nini Zuri hakukaa mahali pake pa kawaida?
  8. Kweli au si kweli: Safari haikuchosha.

Tuesday, 2 January 2024

Maisha ya Mlinda


 

  1. Mlinda alikuwa analala saa ngapi mwaka mmoja uliopita?
  2. Kwa nini Mlinda alilala baada ya saa sita usiku mara nyingi?
  3. Baada ya kifungua kinywa, Mlinda hufanya nini mbele ya kompyuta?
  4. Mlinda alichora nini mwaka uliopita?
  5. Kwa nini Mlinda ataenda Nairobi?
  6. Mlinda atasafiri na nani kwenda Nairobi?
  7. Unafikiri kwa nini Mlinda anapenda kuchora ramani?
  8. Kwa nini Mlinda anasahau kunywa maji mara nyingine?

Friday, 29 December 2023

Wangari Maathai


Jibu maswali yafuatayo

  1. Ni wapi Wangari alipofanya kazi za shambani pamoja na mama yake?
  2. Wangari alitumia nini kulima bustani ya familia yake?
  3. Alikuwa anapenda nini sana wakati wa majira ya jioni?
  4. Ni nani aliyeishawishi familia ya Wangari kumwacha aende shule?
  5. Wangari alipofika Marekani, alisomea nini?
  6. Alikuwa anavutiwa na nini alipokuwa akisoma chuoni Marekani?
  7. Wangari alirudi Kenya baada ya kumaliza masomo yake. Ni nini kilichobadilika nchini mwake?
  8. Wangari aliwafundisha wanawake nini baada ya kurudi Kenya?
  9. Ni tuzo gani Wangari alipokea, na ni kwa nini alipewa tuzo hiyo?
  10. Wangari alifariki lini, na ni kitu gani kinachoweza kutukumbusha kuhusu yeye leo?

Tuesday, 19 December 2023

Listening Exercise: Wanawake na Nyuki


 


  1. Hatua kubwa ambayo wanawake wa kijiji waliamua kuchukua ni ipi?
  2. Wanawake walipata msaada wa nini kwa ajili ya kufuga nyuki?
  3. Walifanya nini baada ya kupata msaada wa mafunzo kuhusu ufugaji wa nyuki?
  4. Wanawake walikusanyika wapi baada ya kupata mafunzo?
  5. Ni mavazi gani wanawake walivalia walipokusanyika chini ya mti?
  6. Kwa nini walifurahi waliposikiliza mtaalamu wa ufugaji nyuki?
  7. Ni nini kilichoonyesha matokeo ya kazi ya wanawake hao katika mradi wa ufugaji nyuki?
  8. Pesa walizopata baada ya kuuza asali ziliwasaidiaje wanawake na familia zao?
  9. Wanawake hao walichangia katika miradi gani baada ya mafanikio ya ufugaji nyuki?

Thursday, 14 December 2023

Listening Exercise: Uamuzi


 

  1. Kijiji kilikuwa na matatizo gani, kulingana na hadithi?
  2. Watu walilazimika kusubiri muda mrefu kuchota maji kwa sababu gani?
  3. Watu wa kijiji walikuwa wanangojea msaada gani?
  4. Kwa nini watu walikuwa wakifunga nyumba zao mapema?
  5. Watoto wa aina gani walikumbwa na shida zaidi katika kijiji chako?
  6. Uchafuzi wa mazingira ulileta madhara gani, kama ilivyoonyeshwa katika hadithi?
  7. Mkutano wa kijiji uliitishwa kwa sababu gani?
  8. Watu wa kijiji walijibuje wito wa kushirikiana kutatua matatizo yao?
  9. Juma na wanawake walitoa mawazo gani kwenye mkutano?
  10. Tangu siku hiyo, watu wa kijiji wamechukua hatua gani kuboresha hali yao?

Listening Exercise: Adhabu

 


1.       Ni nani aliyeleta matunda nyumbani siku moja?

2.       Watoto wanauliza swali gani kuhusu matunda na kupata jibu gani kutoka kwa mama?

3.       Rahim anajulikana kuwa na tabia gani?

4.       Ni nini kinachosababisha mdogo wao kumkasirikia Rahim?

5.       Unadhani kwa nini Rahim anaitwa "mtundu na mchoyo"?

6.       Mama anaoneshaje hisia zake kuhusu tabia ya Rahim kula matunda mengi?

7.       Ni nini kinachofanya Rahim ajisikie vibaya baada ya kula matunda mengi?

8.       Unadhani ni nini kilichomfanya Rahim kuomba msamaha?

9.       Je, familia inaoneshaje imani yao kwa Rahim baada ya kuomba msamaha?